Kuhusu Kampuni ya Mota ya Mafuta Piroozi

Kampuni ya Mota ya Mafuta Piroozinikampuni ya Kutengeneza Mafuta iliyosajiliwakatika mji wa viwanda Kiasar-Mazandaran-IR-IRAN, Aprili2002.Bidhaa zetu zinatengenezwa kwakutumiamadinina mafuta asili msingi ya synthetic ya makundi mbalimbalina kiwango cha juu kilichothibitishwa kimeongezwa katika matengenezo kukidhi mahitaji yote ya kimataifa.

 

Kwakulenga hasa GCC, Mashariki ya Kati, Mashariki ya Mbali, Afrika, Nchi za CIS, Ulaya Mashariki, Kusini mwaUlaya, Kampuni ya Mafuta ya Piroozi ina nafasi ya kipekee ya kuongozakatika uzalishaji, maendeleo na masokokatika mkoa husika na kimataifanakutoa viwango tofauti vya kusaidia na huduma kwa wateja wake.

 

Bidhaa zetu kuu nimafuta ya gia, mafuta ya Viwanda,Grisi, Mafuta ya Breki, antifrizi/coolantna mafuta ya kuosha skrini.Piaunaweza kuchagua kutoka kwenye skeli kubwa ya bidhaa au kutoka kwenye bidhaa kwenye vipimo kulingana na vigezo vyako.Tunatoa sio tu kila aina ya mafuta kwa kila kiwango unachotaka  lakini pia kifurushi kulingana na mtindo wa nyumba yako, mpangilio na ujuzi. Zaidi tunaweza kukushauri kuhusumasuala yote yabidhaa yako.Kazi yetu nikujenga thamani yawateja wetu kwa kuonesha uwajibikaji katika ufumbuzi wa mafuta kwa manufaa ya watu, mashine, na mazingira.

 

Tunaweka mafuta kwenye aina zote za usafiri zinazotembea na zisizo tembea, kwenye miji mikubwa, kwenye mbuga, chini kabisa kwenye migodi na vifaa vyote vya usafirishaji vya mashindano. Tunafahamu nini kinachukua utumiaji mkubwa wa mafuta ya injini kutoa utendaji kazi wa juu bila kuharibu mazingira.

 

Baada yakugundua kuwasababu kubwaya mafanikio katikamradi wowoteniupatikanaji waelimumaalum yaviwanda,kampuniilianzishwana kuongozwa na timu yawataalamu wakuongozasekta, washirika wa kimkakatinawashirika wa biashara, ambapo kwa upande mwingine inashawishi  na kutia moyo kampuni kushirikikatika moja yachangamoto kubwakatikamasoko yadunia.

 

Kampuni ya Mafuta ya Piroozi inaamini kwa teknolojia ya juu kwa kiwango cha juu na gharama zinazostahili.Timu yetu inajumuisha wataalamu wenye uzoefu wa miaka mingi kwenye maeneo yao ya kazi.Kampuni inaamini katika kutumiza matakwa ya wateja kupitia ubora wa bidhaa zake.Bidhaa za kampuni zina uhakika wamaisha ya muda mrefunauimara.Kampuniinayofuatavyokanuniya jumlaya usimamizi wa ubora.

 

 

Mafuta ya Mota, Kiwango Unachoweza Kukiamini

 
skypeYahoo Emailrss
Live Help
News
ÓæÇáÇÊ ãÊÏÇæá
Kura za
Nini maoni yako kuhusu tovuti?Links